DOWNLOAD: Ibraah – “Tanzania” Mp3 / Lyrics

Tanzanian musician Ibraah unleash the brand new single Song which is Tanzania for more information about the new music audio download it below Mp3. DOWNLOAD: Ibraah – “Tanzania” Mp3 / Lyrics

LYRICS

Aha chinga iyeeeeh
Tanzania iyeeeeh
Tanzania iyeeeeh
Tanzania leeeh
Tanzania ye

Alianza nyerere Baba
Akalijenga taifa letu
Akafuata mwinyi mkapa
Wakatupenda viongozi wetu
Nae Baba kikwete
Hakubweteka bwete
Alidunisha sana amani
Kamleta John Pombe Magufuli, mungu
Akamchukua angali twamtamani
Sa katupa mama, maaaama
Mama Tuna Imani na yeye
Uongozi wake salama, Salaama
Na tunampenda yeye

Tanzania, nchi yangu
Tanzania, naipenda (Tanzania)
Tanzania, na ninayo furaha
Ya kuzaliwa Tanzania
Tanzania, nchi yangu
Tanzania, naipenda (Tanzania)
Tanzania, na ninayo furaha
Ya kuzaliwa Tanzania