DOWNLOAD VIDEO: Ibraah Ft Harmonize – “Addiction” Mp4

Tanzanian Award Winning Artist Ibraah unleash the brand new music video Addiction Featuring Harmonize for more information about the new music audio download it below Mp4. DOWNLOAD VIDEO: Ibraah Ft Harmonize – “Addiction” Mp4

LYRICS

Mmmh Yeyeyeyee..
Mmmh Yeyeyeyee..
Mmmh Yeyeyeyee..
Moccoo!

Poombe Poombe..
Yaw Yaw
Poombe Poombe..
Poombe Poombe..
Jeshiiii..
Poombe Poombe..
Eeh Vanemba Newala..

Kwanza Pombe Ni Dawa
Ukiwa Na Msongo
Wa Mawazo Inakuweka Sawa
(Aah Wewe)

Pombe Sio Kahawa Kama
Hauziwezi Usizidishe Utapagawa
(Aah Wewe)

Eeh Mwezenu Nikinywa Pombe
Zinashuka Kwa Chini
Na Kichwa Kinakuwaga Cha Moto

Na Sio Za Kupimaa
Pombe Iwe Dompo Iwe Barimi
Zinanishikaga Ndo Changamoto

Na Enjoy Japo Nikinywa Nakunja
Sura Ni Moja Ya Utamu Wa Pombe
(Utamu Huooo)
Eeh Sitoboi Sasa Usiombe Niikamate
Chura Nazima Taa Hiki Si Nikikombe
(Utamu Huooo)
(Mmmh Mmmh)

Yaw Yaw
Eeh Nikizinywa Nashushia Na Ndumu (Poombe)
Bhasi Iyo Glass Naiona Kama Dumu (Poombe)
Nikizima Niacheni Humu Humu (Poombe)
Na Usishangae Nikila Muhudumu (Poombe)